Wednesday, September 10, 2014

PICHA, WALIMU MWANZI WAWAAGA WALIMU WA MAZOEZI, WANAOHAMA NA KUWAPONGEZA WAENZAO WALIOTEULIWA KUWA WAKUU WA SHULE

Na.Mwl. Venance F.

Tarehe 05/09/2014 siku ya Ijumaa, walimu wa Mwanzi Sec. walifanya sherehe ya kuwaaga walimu wa mazoezi, kumwaga mwalimu mwezao aliyeahamia Chikuyu, na kuwapongeza walimu wenzao walioteuliwa kuwa wakuu wa Shule, walimu walioteuliwa kuwa wakuu wa shule ni pamoja na Janeth Lubasi kuwa Mkuu wa shule ya Sekondari Mwanzi na Mwl. Zaina Mshana aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Chikuyu. Tazama picha za tukio hilo la kuwaaga na kuwapongeza walimu hao.
 Walimu wakiingia ukumbini pamoja na wageni waalikwa


 MC. wa shughuli hiyo, Mwl. Venance akifanya yake


 MC. Mwl.Venance na Makamu mkuu wa shule, Mwl. Luka 
wakitoa burudani

 Mkuu wa Shule, Mwl. Lubasi, akifungua sherehe

 Mkuu wa Shule ya Chikuyu, Zaina Mshana ambaye
 alikuwa mwalimu wa Mwanzi

       MC. akiendelea kufanya yake

                                                                  Mambo ya msosi


Mkuu wa Shule Janeth Lubasi akitoa neno


 Muagwa, ambaye sasa ni Mkuu mpya
 wa Shule ya Sekondari Chikuyu


Baadhi ya walimu

Tunawashukuru walimu wote wa mazoezi na tunatwatakia masomo mema, karibuni tena Mwanzi, pia tunawapongeza Wakuu wapya Mwl. Lubasi (Mwanzi Sec.) na Mwl. Mshana (Chikuyu Sec.) tunawatakia kazi njema.

Na. Mwl. Venance F.
TAALUMA MWANZI SEC.