Picha ya juu na chini, Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Manyoni
Bi. Fatuma Tawafiq akiwasili Shuleni
Katikati ni mkuu wa wilaya, kushoto mkuu wa shule Mwanzi Sec.
Bi. Lubasi J. na kulia ni Afisa elimu Sekondari Manyoni Timoth Benard
Mkuu wa wilaya akiasaini daftari la wageni
Wakijadili jambo
Msafara ukielekea ukumbini
Wanafunzi wakijiandaa kuingia ukumbini
Wanafunzi wakijiandaa kuingia ukumbini
Wakiingia ukumbini
Meza kuu wakifuatilia kwa makini
Mkuu wa shule akiwakaribisha wageni
Wanafunzi wa kidato cha tano wakitoa burudani
wanafunzi wa kidato cha tatu wakitoa burudani
kwa njia ya vichekesho
Baadhi ya wahitimu wakifuatilia kwa makini
Meza kuu wakifuatilia kwa makini burudani iliyokuwa ikitolewa
Wahitimu wakitoa burudani kwa kucheza kwaito
Wahitimu wakisoma risala
Maonesho ya mavazi hayakuwa nyuma pia
Vipaji kibaooo!!! Mwanafunzi akivua jezi huku mpira
ukiwa mgongoni bila mpira huo kuanguka
Mkuu wa shule akisoma risala
Afisa Elimu Sekondari akisalimia wageni
Mwanafunzi wa kidato cha sita akipata zawadi
kwa kufanya vizuri kitaaluma
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza akipata zawadi
kwa kufanya vizuri kitaaluma
Mwanafunzi wa kidato cha tatu akipata zawadi
kwa kufanya vizuri kitaaluma
UKAFIKA WAKATI WA MGENI RASMI KUTUNUKU VYETI WAHITIMU
Wanafunzi wanaotarajia kufanya mtihani ni wanafunzi 98, kati yao wasichana ni 45 na wavulana ni 54.
UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI MWANZI UNAWATAKIA WANAFUNZI HAWA MAANDALIZI MEMA YA MITIHANI YAO WANAYOTARAJIA KUANZA TAR. 03/11/2014
Picha na Mwl. Venance F.
Mwalimu wa Taaluma
No comments:
Post a Comment