Friday, July 12, 2013

MWANZI SEKONDARI

 

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
 
 
WANAFUNZI WA MWANZI WALIOCHAGULIWA
KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SHULE MBALIMBALI
 
Hawa ni wanafunzi waliomaliza Mwanzi Sec. na kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano:
  NOEXAM NOJINA LA MWANAFUNZISHULE AENDAYOMASOMO
1S0662/0086 Elibarick Clement Mwakaleli HGK
2S0662/0103 Isack Noah Moshi TechCBG
3S0662/0130 Paschali Makali LwangwaPCM
4S0662/0134 Peter Julius BinzaCBG
5S0662/0150 Stephano Christian Mwanzi PCM
6S0662/0154 Thomas Daniel BihawanaCBG
7S0662/0156 Tumaini Petro Itigi HGL
8S0662/0027 Limi Mshamindi Bwiru Girls CBG
9S0662/0034 Maria Simon Kondoa Girls HGK
10S0662/0042 Ocley Thadey Maswa Girls PCM
11S0662/0054 Rose Shedrack Maswa Girls PCM
TUNAWATAKIA KILA LA HERI WANAFUNZI WOTE
WALIOPATA NAFASI YA KUENDELEA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO

Sunday, June 30, 2013

ORODHA YA SHULE ZA SEKONDARI 1,200 ZITAKAZOFANYIWA UKARABATI

 
ORODHA YA SHULE ZA SEKONDARI 1,200 ZITAKAZOFANYIWA UKARABATI
 
        Katika hotuba hiyo tumechukua shule za Sekondari Manyoni tu.

NA.  JINA LA SHULE       WILAYA       MKOA
 
1043  ITIGI SEKONDARI    Manyoni         Singida

1044  CHIKUYU                    Manyoni        Singida
 
1045  MLEWA                        Manyoni       Singida
 
1046  MANYONI                    Manyoni       Singida

                                         1047  NKONKO                      Manyoni        Singida
  
 
WILAYA 15 AMBAKO ZITAJENGWA VYUO VYA UFUNDI STADI
AWAMU YA PILI
Na.  WILAYA     MKOA
 
     1.     Magu             Mwanza
2.     Serengeti        Mara
3.     Rorya             Mara
   4.     Kongwa         Dodoma
5.     Manyoni        Singida
  6.     Babati            Manyara
   7.     Hanang          Manyara
 
8.     Mkuranga      Pwani
9.     Kyela            Mbeya
10.   Sumbawanga  Rukwa
11.   Nkasi              Rukwa
12.   Nanyumbu      Mtwara
  13.   Tandahimba    Mtwara
14.   Liwale             Lindi
15.   Ruangwa         Lindi
 




 

 
 
 




 


Friday, May 31, 2013

Haya ndiyo matokeo ya kidato cha sita 2013 kwa shule mbili za A- LEVEL katika wilaya yetu ya Manyoni, na nafasi za shule hizo kimkoa na kitaifa.

MWANZI : DIV: I=0, II=14, III=24, IV=0, 0=0 Kimkoa, imeshika nafasi ya 2 kati ya shule 6
                                                                            Kitaifa imeshika nafasi 53 kati ya shule 329

ITIGI: DIV: I=0, II=6, III=45, IV=0, 0=0             Kimkoa, imeshika nafasi ya 4 kati ya shule 6
                                                                            Kitaifa imeshika nafasi 100 kati ya shule 329

Ukitaka kuingia moja kwa moja kuona matokeo ya shule hizo bofya hapa


ITIGI SEC:  http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/s1032.htm

Monday, March 11, 2013

Shule ya secondari mwanzi yapata mkuu mpya



          Mwl. Ntiruka E.
Hatimaye shule ya secondari mwanzi imepata mkuu mpya anayejulikana kwa jina la Emanuel Ntiruka, mwalimu mkuu huyo mpya anayetoka shule ya secondari kizigo anachukua nafasi ya Ezra Shukia ambaye kwa mabadiliko hayo anaenda kuwa mkuu wa shule ya Rungwa. wakuu hao wametakiwa kuanza kazi katika vituo vyao vipya kuanzia jumatatu ya tarehe 11/03/2013 na tayari ndugu Ntiruka amesharipoti Mwanzi siku ya jana. mabadiliko hayo yametokea baada ya tetesi za muda mrefu za kubadilishiwa vituo baadhi ya walimu wakuu lengo likiwa ni kuongeza ufanisi.

Haya ni mabadiliko ya pili makubwa kutokea baada ya yale ya manyoni sekondari. ambapo mkuu wa shule hiyo ndugu Shalua kupelekwa mwanzi kuwa mwalimu wa kawaida na mama Lema aliyekuwa mkuu wa kamenyanga kuchukua nafasi hiyo. Habari za kuhamishwa kwa Shukia zilianza kusambaa ijumaa jioni wapo waliona habari hzo ni kama uzushi vile na wengine waliziamini.

Shukia J.E

Taarifa zaidi zinasema kuwa, mabadiliko hayo si kuwa yameikumba Mwanzi tu kama wengi wanavyodhani.
Hadi tunawaletea  taarifa hizi hatujaweza kupata majina ya shule zingine na wakuu wake ambao wamekumbwa na mabadiliko hayo.
Ikumbukwe kuwa ndugu, Ntiruka kabla ya kwenda Kizigo alikuwa mwalimu wa Mwanzi kuanzia 2008, na 2009 aliteuliwa kukaimu nafasi ya Mkuu wa Shule hiyo baada ya aliyekuwa mkuu shuleni hapo mwl. Mjungu kustaafu. 2010 Ntiruka akapelekwa kizigo kuwa Mkuu wa shule hiyo akimkabidhi Shukia shule na sasa anarudi Mwanzi Shukia kumkabidhi Ntiruka Mwanzi.




Thursday, March 7, 2013

TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA ZIARA YA MKUU WA WILAYA SHULENI MWANZI SEC.

Makamu mkuu wa shule mwenye gauni kama la kitenge
 akiwatanbulisha walimu kwa mkuu wa wilaya

kutoka kushoto,Afisa tarafa, Afisa Elimu Sekondari,
 Makamu mkuu wa shule, Mkuu wa wilaya na Das
DAS akizungumza na wanafunzi

Afisa tarafa
mkuu wa wilaya akizungumza na wanafunzi

Walimu na mjumbe wa bodi ya shule
 wa kwanza kulia wakisikiliza kwa makini

mkuu wa wilaya akizungumza na wanafunzi
mkuu wa wilaya akizungumza na wanafunzi

mkuu wa wilaya akizungumza na wanafunzi

      Afisa Elimu Sekondari,makamu mkuu
wa shule, na mkuu wa wilaya