Wednesday, December 26, 2012

HALMASHAURI YA WILAYA YA MANYONI
SHULE YA SEKONDARI MWANZI
TANGAZO
 
Uongozi wa Shule ya Sekondari Mwanzi unapenda kuwatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Mwanzi mwaka 2013 kuja shuleni kuchukua fomu za maelekezo ya kujiunga na shule [Joining Instructions]
 
 
Fomu hizo zitaanza kutolewa kuanzia siku ya jumatano tarehe 27/12/2012 hadi tarehe 31/12/2012  siku ya jumatatu.
 
 
Fomu zitakuwa zikitolewa kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 8: 00 mchana
 

 
Tangazo hili limetolewa na
Ezra J. Shukia
Mkuu wa Shule
Shule ya Sekondari Mwanzi
26/12/2012

 

No comments:

Post a Comment