Monday, December 17, 2012

MATUKIO KATIKA PICHA MWANZI SEC.

Afisa Taaluma Manyoni akitoa nasaha zake katika moja
 ya mahafali ya kidato cha nne 2011
 
 
Baadhi ya wanafunzi wakiwa mapumziko
 
 Mwalimu akifundisha somo la ICT wanafunzi wa kidato cha kwanza
 
Walimu na baadhi ya wanafunzi wa Mwanzi sec. wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete katika moja ya mikutano yake uliofanyika hivi karibuni mjini Manyoni
 
Makamu Mkuu wa Shule ya Mwanzi Sec.[mwenye T.shirt nyeusi] akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa serikali ya wanafunzi iliyomaliza muda wake
 
 
 
Mwalimu wa Mwanzi Sec. akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa TAMISEMI Mh. Aggrey Mwanry katika maonesho ya Nane Nane 2012 mjini Dodoma
 
Timu ya mpira wa miguu ya Mwanzi Sec.[Waliosimama]
wakiwa na wenzao wa Chikuyu waliochuchumaa katika moja ya mechi yao
 
Kikosi cha mpira wa miguu Mwanzi Sec.
 
 
Kikosi cha walimu na wafanyakazi wasio walimu wa Mwanzi Sec. wakiwa mapumziko katika moja ya mechi na wanafunzi wao
 
Baadhi ya walimu wa Mwanzi wakiwa Mwanza katika semina ya TEHAMA Mwanza
 

Ujenzi wa choo cha staff
 
 
Mmoja wa madiwani akizungumza na wanafunzi wa Mwanzi
 
 
Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi waliohitimu kidato cha nne 2011
 
 
Baadhi ya wazazi wakiwa katika moja ya kikao cha wazazi na staff ya Mwanzi
 
Baadhi ya wanafunzi wa Mwanzi wakifanya maigizo

No comments:

Post a Comment