Friday, February 8, 2013

MAHAFALI YA KLABU YA KISWAHILI TAREHE 17/01/2013

Wahitimu wakisoma risala kwa mgeni rasmi
Mwalimu Venance mwenye shati la mistari mistari
 
 Wahitimu wakiburidisha kwa njia ya maigizo
 
 
Walimu wakifuatilia kwa makini igizo kutoka kushoto ni
Mwl. John Maghway, Venance F na Ginatio M.
 Mgeni rasmi akitoa hotuba kwa wahitimu
 
Picha zifuatazo baadhi ya wahitimu wakitunukiwa vyeti
vya Uanachama na Uongozi wa Klabu
 
 
 
 
Makamu Mwenyekiti wa Klabu, Dorika Isaya akikabidhi Faili
la Klabu kwa Mwalimu Mlezi wa Klabu ambaye pia alikuwa Mgeni rasmi
katika mahafali hayo
 
 Mwalimu John Maghway akitoa neno kwa niaba ya Idara ya Hesabu
 
Huyu ndiye alikuwa msema chochote [MC]  katika shughuli hiyo
Mmoja wa wahitimi [katikati] akionesha cheti alichotunikiwa
Viongozi wa Klabu katika picha ya pamoja na walimu wao
 
Picha ya pamoja kati ya wahitimu na walimu
 
Hawa walikuwa wanafunzi wanaochukua Geography waliwasindikiza
wenzao wa Kiswahili katika picha ya pamoja na walimu
 
BURUDANI KAMA KAWAIDA HAIKUWA NYUMA

TUNAWATAKIA KILA LA HERI WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA SITA KATIKA
MTIHANI WAO WANAOENDA KUFANYA SIKU YA JUMATATU TAREHE 11/02/2013

No comments:

Post a Comment