Friday, July 13, 2018
Sunday, June 17, 2018
WANAFUNZI WA MWANZI WALIOCHALIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2018 SHULE MBALIMBALI
MKUU WA SHULE NA JUMUIYA YA WANAMWANZI WANAWAPA HONGERA NA KUWATAKIA KILA KILA HERI KATIKA MASOMO YENU. AIDHA TUNAWATAKIWA MUWE MABOLOZI WEMA WA MWANZI.
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MWANZI HIGH SCHOOL BOFYA HAPA
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MWANZI HIGH SCHOOL BOFYA HAPA
Monday, January 8, 2018
Sunday, July 16, 2017
HIVI NDIVYO WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MWANZI WALIVYOPASUA MATOKEO YA KIDATO CHA VI 2017
MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA VI 2017 MWANZI SEKONDARI BOFYA HAPA
TUJIKUMBUSHE: WANAFUNZI HAWA WALIPOKUWA WAKIWAAGA WALIMU WAO
TUJIKUMBUSHE: WANAFUNZI HAWA WALIPOKUWA WAKIWAAGA WALIMU WAO
KUANGALIA MATOKEO YA SHULE ZOTE INGIA HAPA
Kwa taarifa mbalimbali na matukio pia unaweza kutofollow instagram @mwanzi_high_school
Kwa taarifa mbalimbali na matukio pia unaweza kutofollow instagram @mwanzi_high_school
Tuesday, June 27, 2017
HABARI NA PICHA: MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA MWANZI SEKONDARI
Na. Mwl. Venance, F.
Aidha Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw. Amour Hamad Amour mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi husika. Alimpongeza Mkuu wa Shule, Mkandarasi na wadau wote waliofanikisha mradi huu tena kwa kiwango bora. Akimuelekea Mkuu wa Shule, Kiongozi huyo wa mbio za mwenge alisema, "Hongera sana mama...yaani hapa umepata Hosteli. Mimi nimeukubali kwa asilimia mia." aidha alimtaka mkuu huyo wa shule kuwahimiza wanafunzi wasome kwa bidii, wafundishwe uzalendo na kuijua nchi yao.
Hapa chini nimekuwekea picha za tukio zima.....
Mkuu wa Shule akisoma taarifa ya mradi
Mkuu wa Shule akiusubiri Mwenge wa Uhuru
Burudani za ngoma za asili zilikuwepo
Wazee wa matarumbeta pia walikuwepo kutumbuiza
Bweni la wasichana linalojengwa
Habari na picha na Mwl. Venance, F.
0715 33 55 58/0755 44 06 99
Saturday, June 17, 2017
ORODHA YA WANAFUNZI WA MWANZI SECONDARY WALIOACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2017 SHULE MBALIMBALI NA WANAOSUBIRI AWAMU YA PILI
Wafuatao wanasubiri chaguo la pili
- DORICA MIKA JOHN
- BARAKA FRANCIS LEONARD
- BONIPHACE REVOCUTUS PHILBERTY
- SAMWEL SAIMON KIELEZO
- BARAKA MOSES KAHIMBI
- HIDAYA HAMISI ALLY
Subscribe to:
Posts (Atom)


